VIDEO|AUDIO | Group Musical Chandelier de Gloire - Rafiki mwema

Kuna yule aliyenipenda Group Musical Chandelier de Gloire - Rafiki mwema Download


Kuna yuGroup-Musical-Chandelier-de-Gloire---Rafiki-mwema-Downloadkuna yule aliyenipenda mp4 download

kuna yule aliyenipenda download mp3
Groupe Chandelier de Gloire - Rafiki Mwema Lyrics Kuna yule aliyenipenda 

Si kwa ajili ya mali 

Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu 

Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine 

Huyu halali wala hasizinzii 

Hata leo hajawai kunichoka eeeh Kuna yule aliyenipenda 

Si kwa ajili ya mali 

Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu 

Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine 

Huyu halali wala hasizinzii 

Hata leo hajawai kunichoka Sikutafuta ni yeye alikuja kwangu 

Ningawazaje makosa yangu 

Yesu alinipenda wa kwanza 

Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi 

Upendo wake Yesu yeye wanishangaza 


Yesu huyu Yesu rafiki mwema 

Yesu huyu Yesu ninakupenda 

Yesu huyu Yesu rafiki mwema 

Yesu huyu Yesu ninakupenda Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema 

Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema 

Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema 


Yesu huyu Yesu rafiki mwema 

Yesu huyu Yesu ninakupenda 

Yesu huyu Yesu rafiki mwema 

Yesu huyu Yesu ninakupenda 
Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

Featured

Facebook