Skip to main content

Dr Ipyana Ft. Remnant Malita - Umewazidi lyrics Praise and Worship song 2020 Download

Dr Ipyana Ft. Remnant Malita - Umewazidi 

Dr Ipyana Ft. Remnant Malita - Umewazidi lyrics

Mwema Mungu mwema 

Maana fadhili zako za milele 

Mwema Mungu mwema 

Maana fadhili zako za milele 


Mwema Mungu mwema 

Maana fadhili zako za milele

Mwema Mungu mwema 

Maana fadhili zako za milele


Umewazidi wote ulimwenguni kote 

(You have surpased all in all the world)

Hakuna kama wewe 

(No, there is none like You)

Umewazidi wote kwa nguvu uweza mamlaka Yesu 

Hakuna kama wewe 


Umewazidi wote ulimwenguni kote 

Bwana hakuna kama wewe 

Umewazidi wote ulimwenguni kote 

Bwana hakuna kama wewe 


(You can dance before the Lord ...) 


Umewazidi wote ulimwenguni kote 

Bwana hakuna kama wewe 

Umewazidi wote ulimwenguni kote 

Bwana hakuna kama wewe 


Mwema Mungu mwema 

Maana fadhili zako za milele 

Mwema Mungu mwema 

Maana fadhili zako za milele 


Umewazidi wote ulimwenguni kote 

(You have surpased all in all the world)

Bwana Hakuna kama wewe 

(Lord there is none like You)

Dr Ipyana Ft. Remnant Malita - Umewazidi VIDEO Download
Dr Ipyana Ft. Remnant Malita - Umewazidi AUDIO Download
Comments